Jeremiah 6:15

15 aJe, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao
inayochukiza mno?
Hapana, hawana aibu hata kidogo;
hawajui hata kuona haya.
Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka,
watashushwa chini nitakapowaadhibu,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN